Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akitoa tamko lake la kuichangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM,(UVCCM)
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM,(UVCCM) katika hafla ya
Harambee kufanikisha matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyofanyika leo katika Bwalo la Maafisa
wa Polisi,Oysterbay Jijini Dar es Salaam,(kulia) Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.
No comments:
Post a Comment